Kanuni moja: lazima iwe na sensor ya NDIR halisi. Si makadirio ya "eCO2" yanayokisia kutoka gesi nyingine. NDIR inapima CO2 moja kwa moja. Kila kitu kingine ni upuuzi.
Azima CO2 monitor, fanya test, pata nambari yako. Unataka kuthibitisha hewa ni mbaya, kushinikiza building manager, au kujenga kesi ya kutoka kwenye lease. Reading halisi ndiyo ushahidi pekee unaohesabika. Weka email yako na tutawasiliana.